Ticker

6/recent/ticker-posts

MBARAWA ASISITIZA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO KUKAMILIKA MAPEMA

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kushoto), akiangalia taswira ya muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato utakavyokuwa baada ya kukamilika kwake mwezi Juni, 2025.

Waziri waUjenzinaUchukuzi, ProfesaMakameMbarawa,amemtakamkandarasianayejengaKiwanja chaNdegecha Kimataifa chaMsalatokuhakikishaanakamilishaujenziwakiwanja hichokwawakatinakwaubora.

Ametoa agizohiloleojijini Dodoma, alipokuwaakikaguamaendeleoyaujenziwakiwanjahichoambachokinatekelezwanaKampuniyakikandarasiyaSinohydro Corporation kwakushirikianana M/s Beijing Sino – Aero Construction Engineering na M/s China Jiangxi International Economic and Technical Cooperation.

“Niwasisitize wale waliopatafursayakusimamiaujenziwaKiwanja cha NdegehichiikwemoMhandisiMshauri, TANROADS na TAAlazimatuhakikishekwambamkandarasianajengakwaviwangovinavyotakiwanaikiwezekanahadikufikiamweziJuni 2025 mradiuweumekamilika”,amesisitiza Waziri Mbarawa.

Prof. Mbarawaameahidikuwaatautembeleamradihuomarakwamarailikuonahatuambalimbalizautekelezajikuanziamwanzohadimwishonimwautekelezaji wake lengonikuonakuwamkandarasianafanyakazikulingananayalewaliokubalianakwenyemkataba.

Aidha, ProfesaMbarawaamefafanuakuwakiwanjahichokinajengwakwaawamumbiliambapoawamuya kwanzainahusishaujenziwabarabarayakurukanakutuandege, Apron, Tax way nakufungataanakwaawamuya  pili ujenziwajengo la abirianamiundombinumingine.

Waziri MbarawaamemshukuruRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, MheshimiwaSamiaSuluhu Hassan, kwakuendeleakutoafedhakwaajiliyautekelezajiwamiradimbalimbalinchiniilikuletamaendeleokwaTaifakwaujumla.

AmewatakawananchikumpaushirikianowakandarasihaoilikurahisishautekelezajiwamiradihiyounaishakwaharakanakuwezakuletatijakwajamiinaTaifa.

Kwa upande wake,MenejawaWakalawaBarabara(TANROADS), Mkoawa Dodoma Mhandisi Leonard Chimagu,amesemakuwakwasasamkandarasianaendeleanaujenziwabarabarayakurukanakutuandege.

Naye, MkaziwaMsalato, JumaAheri,amesemakuwawanatarajiakupataajiranyingikatikamradihuo pia mradiukikamilikaeneohilolitaendeleakiuchumikwanibiasharapamojanahotelizitajengwakwawingi.

UjenziwaKiwanjahichochenyeurefuwakilometa 3.6 unatarajiwakukamilikamwezi June, 2025 nautagharimutakribanishilingiBilioni 165.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa (wa kwanza kushoto), akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mkazi anayesimamia mradi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato, Ayele Yirgo, wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanja hicho jijini Dodoma.


 


 Mhandisi Mkazi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato, Ayele Yirgo, akielezea
mchoro wa taswira ya Kiwanja cha Ndege cha Msalato kwa Waziri wa
Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, mara baada ya kukagua
mradi huo Jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments