Ticker

6/recent/ticker-posts

SEPTEMBA MWAKA HUU MAGARI KUPITA DARAJA JIPYA LA WAMI


Waziri waUjenzinaUchukuzi, Prof. MakameMbarawa,akipitiampangokaziwaujenziwaDarajajipya la Wamilenyeurefuwamita 513.5 nabarabaraunganishizenyeurefuwakilometa 3.8ambaokwaujumlaujenzi wake umefikiaasilimia 86, mkoaniPwani.

 


 

Waziri waUjenzinaUchukuzi, Prof. MakameMbarawa, amesemakuwa  Serikaliinatarajiakuanzakuruhusumagarikupitajuuyadarajajipya la wami, lililopomkoaniPwaniifikapomweziSeptembamwakahuu.

 

Hayoyamesemwana Waziri huyowakatiakikaguahatuazamaendeleoyadarajahiloambapopamojana mambo mengineamemtakamkandarasikukamilishakazindogondogozilizobakiakatikadarajahiloilikurahisishamatumizisalamayawatumiajiwadarajahilo.

 

"Hadisasakazizinaendeleavizuri, nimatumainiyanguhadikufikiatarehe 20 Septemba, mtakuwammeshakamilishakazizilizobakiilimiminiwezekuruhusumagarikupita", amesema Waziri Prof. Mbarawa.

 

Ameelezakuwamradihuoambaoumefikiaasilimia 86 katikautekelezaji wake unajumuisha  ujenziwadarajalenyeurefuwamita 513.5  pamojanaujenziwabarabaraunganishizenyeurefuwakilometa 3.8.

 

Aidha, amemshukuruRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, MheshimiwaSamiaSuluhu Hassan,  kwakuendeleakutoafedhazamiradiyakimkakatinakurahisishashughulizausafirinausafirishajinchini.

 

Akitoataarifayamradi, KaimuMenejawaWakalawaBarabara (TANROADS), mkoawaPwani Eng. HeririsperMollel, ameelezakuwakwaupandewaujenziwa  darajamkandarasiamekamilishaujenziwasehemuyachiniyadarajakwaasilimia 100 nasehemuyajuuamekamilishatabaka la juu la lamimita 256 katiyamita 513.5 ambayonisawanaasilimia 50 yaurefuwadaraja.

 

Ameongezakuwakazinyinginezilizokamilikaniujenziwamakalvatimakubwamatatunamadogosabanauwekajiwamabomba 188 yamajikatiya 206 ambayonisawanaasilimia 91.

 

Kuhusuujenziwabarabaraunganishi Eng. Heririsperamesemakuwahadisasakilometa 3.4 zaujenziwatabaka la lami la chinizimekamilika.

 

UjenziwaDarajajipya la WamiunagharimuzaidiyashilingiBilioni 75 ambazonifedhazaSerikali  kwaasilimia 100 naunatekelezwanamkandarasi Power Construction  Corporation kwamudawamiezi 48.

 

 

Kazizaujenziwatabaka la juu la lamikatikaDarajajipya la WamilililopomkoaniPwanizikiendelea. UjenziwaDarajahiloumefikiaasilimia 95.1.


Waziri waUjenzinaUchukuzi, Prof. MakameMbarawa, akikaguahatuazaujenziwabarabaraunganishizaDarajajipya la Wamizenyeurefuwakilometa 3.8  ambaoujenzi wake umefikiaasilimia 76.8, mkoaniPwani.

 

Post a Comment

0 Comments