Ticker

6/recent/ticker-posts

BRUNO TSHIBALA NDIYE WAZIRI MKUU MPYA DR CONGO


Bruno Tshibala ndiye waziri mkuu mpya DR Congo
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, amemteua Bruno Tshibala kama Waziri Mkuu mpya katika Serikali ya kugawana madaraka.
Bwana Tshibala ataongoza taifa hilo hadi uchaguzi wa Urais unaotazamiwa kufanywa baadaye mwakani.

Post a Comment

0 Comments