MKUU WA MKOA WA ARUSHA AZINDUA BARABARA YENYE DHAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 500 NDANI YA KATA YA KALOLENI



 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amezindua barabara katika kata ya kaloleni kwenye maeneo ya St James na mahakama yenye thamani ya shilingi milioni 586 fedha kutoka serikali kuu aidha ameambatana na DC Gabriel Fabian Daqarro DED Athumani Kihamia pamoja na watumishi wengine
 Wananchi waliouthuria uzinduzi huo

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia