TATIZO LA MIGOGORO YA MIPAKA NI TATIZO LINALOWAPOTEZEA MDA MWINGI WANANCHI

Tatizo la migogoro ya mipaka Kati ya boma na boma kijiji na kijiji, kata na kata na wilaya na wilaya ni tatizo linalowapotezea Muda mwingi saana wananchi wetu.

haya yameelezwa na mkuu wa wilaya ya Longido  Daniel Chongolo wakati alipokuwa akitatua mvutano wa matumizi ya Aridhi ya vijiji vya kata ya Mundarara

Alisema kuwa  wajibu Muhimu kama Viongozi ni kuhakikisha wanafanya kila namna ili kuitatua migogoro hiyo ili wananchi  waondokane na migogoro na kujielekeza kwenye shughuli za maendeleoHapa Mkuu WA Wilaya ya lingido Daniel Chongolo akitatua mvutano wa matumizi ya ardhi ya vijiji katika kata ya Mundarara. Tuliumaliza salama.

Akisikiliza kwa makini maelezo
sehemu ya wananchi waliouthuria

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.