HIVI NDIVYO MBIO ZA TIGO KILI HALF MARATHON ZILIVOFANA MJINI MOSHI
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadick akimpa tuzo mshiriki wa Tigo half Kilimaratho mwenye miaka 90, Joram Zacharia Mollel baada ya kumaliza mbio hizo za kilomita 21 |
| Mshiriki wa Tigo half Kilimaratho mwenye miaka 90, Joram Zacharia Mollel baada ya kumaliza mbio hizo za kilomita 21, Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini |
| Washindi wa riadha ya kilomita 21 iliyofadhiriwa na Tigo kwenye Kilimarathon wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali. |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia