HUYU JENERALI MKUU WA MAJESHI Woinde Shizza Thursday, June 30, 2022 Add Comment Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali na Kumteua ... Read More
IGP SIRRO AWAFUKUZA ASKARI POLISI WANAFUNZI ZAIDI YA 100 KWA SABABU MBALIMBALI Woinde Shizza Wednesday, June 29, 2022 Add Comment MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema takribani askari polisi wanafunzi 156 wamefukuzwa mafunzo ya Askari Polisi kutokan... Read More
AWESO :AZITAKA BODI ZA WAKURUGENZI WA MAJI KUHAKIKISHA WANAFANYA JUHUDI YA KUZIPATIA JAMII ZA KITANZANIA MAJI MAHALI WANAPOISHI Woinde Shizza Wednesday, June 29, 2022 Add Comment Waziri wa maji Jumaa Aweso akifungua mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wajumbe wa bodi za mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingi... Read More
SERIKALI YAZINDUA MIONGOZO WA KITAIFA YA UANDAAJI NA UENDESHAJI WA MABARAZA YA WATOTO Woinde Shizza Wednesday, June 29, 2022 Add Comment Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ukatii katika maeneo mbalimbali nchini,Serikali imezindua miongozo kitaifa wa uundaji na uendeshaji ... Read More
KABAKA AWAOMBA WANAWAKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Woinde Shizza Wednesday, June 29, 2022 Add Comment Na Mapuli Misalaba, Shinyanga Mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT Taifa Gaudentia Kabaka amewaomba wanawake wa Chama... Read More
WANANCHI WA MKOA WA MANYARA WAANZA KUPATIWA CHANJO YA COVID -19 ZOEZI LINALOENDESHWA NA WHO KWAKUSHIRIKIANA NA UONGOZI WA MKOA HUO Woinde Shizza Wednesday, June 29, 2022 Add Comment Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO, kwa pamoja na wadau mbalimbali wameanza kampeni maalum ya kuwachanja... Read More
ULEGA AWATAKA WA WIZARA YA MIFUGO KUREKEBISHA MWONGOZO WA MNADA WA KITAIFA WA PUGU ULIOPO JIJINI DAR ES SALAAM Woinde Shizza Wednesday, June 29, 2022 Add Comment Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (Mb), akikagua ubora wa matofali yanayotumika katika ujenzi wa uzio katika mnada wa kima... Read More
TANZANIA YAPATA TUZO YA KUWA NA BANDA BORA LENYE UBUNIFU WA MATANGAZO YA UTALII NCHINI KOREA Woinde Shizza Tuesday, June 28, 2022 Add Comment Tanzania imefanikiwa kupata Tuzo la kuwa na banda bora lenye ubunifu wa kutangaza utalii katika maonesho ya 37 ya utalii ya Seoul Internat... Read More
ALIYEWAHI KUWA NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA MBUNGE WA ZAMANI JIMBO LA NGORONGORO ASEMA YUKO TAYARI KUHAMIA MSOMERA KWA HIYARI Woinde Shizza Tuesday, June 28, 2022 Add Comment Na Mwandishi wa NCAA, Arusha. Mbunge wa zamani wa Jimbo Ngorongoro Mkoani Arusha Mhe. Kaika Ole Telele amebainisha kuwa yuko tayari kuhama... Read More
WAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA UBELGIJI Woinde Shizza Tuesday, June 28, 2022 Add Comment Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameagana na Balozi wa Ubelgiji nchini Mhe. Peter ... Read More
BALOZI WA UTALII NCHINI AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS SAMIA ZA KUTANGAZA UTALII Woinde Shizza Tuesday, June 28, 2022 Add Comment BALOZI wa Utalii nchini Lydia Lukaba akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza mbio za Marangu Nature Walk Ride&Run zenye l... Read More