ZAINA FOUNDATION YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE

 


Mkurugenzi wa Taasisi ya Zaina Foundation Zaituni Njovu akiwasilisha mada ya ukatili wa wanawake mtandaoni , wakati akitoa mafunzo ya kuwajengea uwelewa waandishi wa habari wanawake juu ya usalama mtandaoni ,huko Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.



Meneja wa Programu katika Taasisi ya Zaina Foundation, Farida akiwaelekeza washiriki wa mafunzo ya usalama mtandaoni baadhi ya programu zitakazowasaidia kuwaweka salama wakati wa matumizi ya mtandao ,huko Verde Mtoni Zanzibar.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post