Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya zuio la kuvuliwa Ubunge yaliyowasilishwa na Wabunge 19 waliovuliwa uanachama na CHADEMA, kutokana na uamuzi huo kinachosubiriwa ni tamko la Spika, Dr. Tulia kwamba Mdee na wenzake sio Wabunge.