TAMWA pamoja na ZainaFoundation kwa pamoja waliweza kutanisha wadau wa haki
za kidijitali na waandishi wa habari ili kuweza kujadili mrejesho wa tafiti waliyoifanya juu ya uzimwaji
wa mitandao nchini wakati wa matukio mbalimbali kama uchaguzi, pamoja na
namna bora ya kuzikabili changamoto hizi pindi zitapojitokeza hapa ni wadau hao wakiwa katika picha ya pamoja
MENEJA mradi wa Taasisi ya Zaina Foundation Farida Salum katikati akiendelea kuwaelimisha baadhi ya washiriki walioshiriki majadiliano hayo