Jamani askari wa usalama barabarani Arusha mko wapi wananchi wanateseka sana eneo la Anex haswa nyakati za jioni kwani madereva daladala wanapaki ovyo kiasi cha kuzuia magari mengine yasipite mnafanya nini msiwachukulie sheria
ASKARI WA USALAMA BARABARANI ARUSH A MPO WAPI
bywoinde
-
0