Amiri Jeshi mkuu Muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride
Wakitoa heshima mbele ya amiri jeshi mkuu
vikosi vikipita mbele ya amirin jeshi mkuu
Maofisa Wanafunzi 5o6 wa jeshi la wananchi waliokuwa wanachukuwa mafunzo ya muda mfupi ya kijeshi wametunukiwa Kamishina na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Amiri jeshi mkuu,Muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete sherehe zilizofanyikia katika chuo cha kijeshi cha Monduli kilichopo mkoani Arusha
Katika sherehe hizo jumla ya wanafunzi maofisa 69 ni wanawake na wanaume walikuwa ni wanafunzi maofisa 447 na katika wa maafisa hao walio waliopewa kamishana kuna maafisa wa fani mbalimbali ikiwemo Wauguzi ,walimu ,wanasheria ,Wahasibu pamoja na waandishi wa habari .