KAMPUNI YA TDL KUPITIA KINYWAJI CHAO CHA KONYAGI YAGAWA VIFAA VYA KUFANYIA USAFI WA JIJI LA ARUSHA

 Meneja mauzo wa kanda ya kaskazini wa konyagi Josephy Mwaigomole akimkabithi mkuu wa wilaya Raimond Mushi mabuti kwa ajili ya usafi wa jiji la Arusha

Mkuu wa wilaya ya Arusha akiendesha toroli ambalo kampuni hii ya TDL imevitoa katika manispaa ya Arusha kwa ajili ya usafi wa jiji

kampuni ya inayotengeneza kinywaji cha Konyagi leo imetoa vifaa vya kufanyia usafi wa jiji la Arusha Akikabithi vifaa hivyo meneja wa kanda ya kaskazini wa kinywaji hicho amesema kuwa kampuni yao imeamua kutoa vifaa hivyo vya kufanyia usafi ili kuweza kuwarahisishia kazi wafanya usafi wa jiji la Arusha

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post