GODBLESS LEMA AACHIWA HURU WANACHAMA WA CHADEMA WAMIMINIKA KUMPOKEA


picha mmbunge akiwatuliza wananchi waliokuwa wakitaka kuingia mahakamani mara baada ya askari wa kutuliza gasia kushindwa
 Askari wakiwa wanawarushisja nyuma wafuasi wa Chadema wakati wanataka kuingia mahakani
 
mbunge akishuka kwenye gari

 washabiki wa CHADEMA wakimlaki mbunge mara baada ya kushuka kwenye gari pembeni yake ni mkuu wa operetion Mkoa Peter
 mbunge wa Arusha mjini katika katikati kushoto kwake ni mke wake na kulia kwake ni mama yake mzazi mara baada ya kuwasili mahakamani kutoka magereza
 mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiwa anaongea na wakili wake kimomogoro wakiwa wanateta ndani ya mahakama sijui alikuwa anauliza hali halisi ya magereza shehe ikoje
 mbunge akiwa anashukuka na msafara mara baada ya kutoka mahakamani  alikuwa amekaa juu ya gari yake
 baadhi ya wanachama wa chadema wakiwa wanaserebuka nje ya ofisi ya chama wakati wanasubiri msafara wa wa mbunge wao ufike katika ofisi za chama
 Lema akiwasili katika ofisi za chama kutoka mahakamani alikuwa anasindikiswa na wanachama wa Chadema lema ameketi juu ya gari anawapungia wananchi wake
 Umati wa watu ulikuwa umemfata lema wakiwa wamekaa nje ya ofisi ya chama cha demokrasia na maendeleo Chadema wakimsubiri mmbunge wao aje aongee nao
 mmbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiwa anaongea na waandishi wa habari ndani ya ofisi ya chama chao
mmbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiwa anaongea na wananchi wake nje ya ofisi ya chama chao Chadema mara baada ya kutoka mahakamani

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post