KAMANDA MKALIPA AAGWA RASMI KWA TAFRIJA YA NGUVU

 Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha, SP Ally Mohamed Mkalipa, ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro, akimpa zawadi ya kitambaa, Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki, wakati Mkalipa alipoagwa
Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha, SP Ally Mohamed Mkalipa, ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Mirerani, Wilayani Simanjiro, akiwa amezungukwa na baadhi ya wakazi wa Mirerani alipoagwa  
PICHA ZOTE NA woindeshizza blog

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.