Ticker

6/recent/ticker-posts

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI,JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)
Umati wa wakazi wa mji wa Himo wakisiliza kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa hadhara wa Mh James Mbatia aliofanya katika uwanja wa Ghalani.
Mbunge wa jimbo la Kasulu mjini ,Moses Machali akiwahutubia wakazi wa mji wa jimbo la Vunjo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ghalani.
Mzee Gervas Mlacky akizungumza kwa niaba ya wazee wenzake ,akimuomba Mh,Mbatia kurejea kugombea Ubunge katika jimbo la Vunjo.
Mzee Agustine Riwa akimkabidhi ,Mh Mbatia zawadi ya Ngombe Dume kama ishara ya kumkaribisha nyumbani.
Badhi ya kina mama wakifuatilia mkutano.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ,James Mbati akitizama picha yake wakati wa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Galani -Himo mkoani Kilimanjaro muda mfupi kabla ya kuwahutumbia wananchi wa Jimbo la Vunjo.
Mh Mbatia akiwahutubia wakazi wa jimbo la Vunjo.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ,James Mbati akikabidhi kadi kwa wananchama wapya wa chama hicho waliojiunga mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Galani -Himo mkoani Kilimanjaro muda mfupi kabla ya kuwahutumbia wananchi wa
Jimbo la Vunjo
Wanachama wapya wa chama cha NCCR-Mageuzi wakionesha kadi za uanachama.

Post a Comment

0 Comments