TASWIRA YA KIOTA KIPYA CHA BURUDANI KINACHOPIGA MIZIKI YA LIVE BAND PAMOJA NA MIZIKI YA ZAMANI KILICHOZINDULIWA NDANIYA SAKIBA BAR HVI KARIBUNI WEKENDI HII ILIYOPITA BAADHI YA MABLOGGER WA A TOWN WALITEMBELEA ENEO HILO NA HIVI NDIVYO WALIVYO KULA BATA

 picha ikionyesha  baadhi ya ma blogger wa mkoa wa arusha Akiwemo pamela mollel mmiliki wa jamii blog ,seria  wa arusha225blog pamoja na mimi mwenyewe mdada wa libeneke la kaskazini woindeshizza blog
 tukibadilishana mawazo na wadau mbalimbali akiwemo  mdau mzuri wa libeneke Yona pamoja na mwingine kamanda wetu Tumaini Munisi ndani ya sakina bar klabu ambayo ndio mpya imezinduliwa hivi karibuni kiwanja cha kistaarabu kwa watu wastaarabu wa jijji la Arusha
 hala five all people
 Pamela Mollel akiwa na Woinde Shizza waki show love ndani ya klabu ya sakina lounge


 tukiteta jambo na mmiliki wa jamii blogkwa wadau wote wa libeneke la kaskazinia ambao watakuwa kumbi yoyote ya starehe au sehemu yeyote  na anataka picha zake zijumuishwe katika blog yetu anaweza kututumia kwa wassap na maelezo katika namba hii 0755264620 karibuni sana

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.