Mgeni
Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akitoa hotuba
yake wakati akifungua mkutano huo unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa
wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo
Septemba 10 mpaka Septemba 12,2014.Katika hotuba yake hiyo,Mh. Nchemba
wameutaka Mfuko wa PPF kuhakikisha wanapanua wigo kwa kuongeza wanachama
wengi kutoka kwenye setka binafsi hasa wananchi wa kipato cha chini
ikiwemo wajasiriamali.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,Alhaj Ramadhan Khijja
akitoa hotuba yake mapema leo asubuhi wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa
24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF
unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini
Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akizungumza leo kwenye
Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo
kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Baadhi
ya Wanachama wa Mfuko wa PPF wakitoa ushuhuda wao mbele ya wanachama
wenzao juu ya manufaa waliyoyapata kupitia Mfuko wa PPF.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wakuu wa Mashirika ya Hifadhi za Jamii nchini,Daudi Msangi
akitoa shukrani kwa mgeni rasmi na kwa wadau wote kwa ujumla kwa
kuitika kwao wito kwenye Mkutano huo.
Mgeni
Rasmi katika Mkutano huo,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba
akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William
Erio wakati wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa
PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
AICC,Jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio akifatlia mada kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini,Kamishna Jenerali,John Casmir Minja akifatilia Mkutano huo.
Mgeni
Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akizindua
rasmi huduma mpya za Mfuko wa PPF kupitia simu za mikononi.
Sehemu
ya Waheshimiwa Wabunge wanaohudhulia Mkutano huo wa 24 wa Mwaka wa
Wanachama na Wadau wa PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa AICC,Jijini Arusha.
Majadiliano ya hapa na pale.
Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani akifatilia mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka.
Sehemu ya Wakurugenzi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta,Sabasaba Moshingi akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF,Adam Mayingu.
Waziri
wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kushoto) akikabidhi
Mfano wa Cheti,Muwakilishi wa Chama wa Wavuvi kutoka Ukerewe,Alphonce
Mukama wakati wa Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa
PPF,unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
AICC,Jijini Arusha. Wapili kushoto ni Mgeni Rasmi katika Mkutano
huo,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba.
Mgeni
Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Mwigulu Nchemba akikabidhi
cheti kwa Meneja Mafunzo na Maendeleo wa Benki ya CRDB,Agnes Robert kama
wachangiaji mahiri kwenye Mfuko huo.
Picha ya pamoja na Baadhi ya Washindi wa tuzo mbali mbali za uchangiaji wa Mfuko wa PPF.
Picha ya pamoja na Baadhi ya Wanachama wapya wa PPF ambao ni Waheshimiwa Wabunge na Kamishna Mkuu wa Magereza.
Picha ya pamoja na Waheshimiwa Wabunge.
Wakurugenzi wa zamani wa Mfuko wa PPF.
Picha ya Pamoja wa Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi.