RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA MJINI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08,2014.

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.