|
Daktari wa Kitengo cha Magonjwa ya Saratani wa hospitali ya Bugando Mwanza Dk.Beda Likonda akizungumza
katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD
ulioandaliwa kwa lengo la kuwapa fursa baadhi ya wadau wa jiji la Mwanza
kuzungumzia bidhaa muhimu za Mabibo, ubora wake, upatikanaji wake na
fursa zitokanazo na mauzo ya bidhaa hizo, pia kupata maoni kutoka kwao
kuhusiana na bidhaa hizo. |
|
Wadau
katika meza zao wakisikiliza na kujadili masuala mbalimbali katika
usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD ulioandaliwa kwa
lengo la kuwapa fursa baadhi ya wadau wa jiji la Mwanza kuzungumzia
bidhaa muhimu za Mabibo, ubora wake, upatikanaji wake na fursa
zitokanazo na mauzo ya bidhaa hizo, pia kupata maoni kutoka kwao
kuhusiana na bidhaa hizo. |
|
Daktari wa Kitengo cha Magonjwa ya Saratani wa hospitali ya Bugando Mwanza Dk.Beda Likonda akizungumza
katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD
ulioandaliwa kwa lengo la kuwapa fursa baadhi ya wadau wa jiji la Mwanza
kuzungumzia bidhaa muhimu za Mabibo, ubora wake, upatikanaji wake na
fursa zitokanazo na mauzo ya bidhaa hizo, pia kupata maoni kutoka kwao
kuhusiana na bidhaa hizo. |
|
Watu
mbalimbali maarufu wamealikwa hapa akiwemo Daktari bingwa wa ugonjwa ya
saratani ya matiti kutoka Bangarole India, Profesa Anthony Pais, ambapo
hapa alitumia usiku huo kujitambulisha.
|
Daktari
huyo bingwa yupo nchini kutembelea hospitali kadhaa kujionea ukubwa wa
tatizo linalosababishwa na ugonjwa huo wa saratani hapa nchini na kuona
uwezekano wa kujenga kituo cha uchunguzi wa ugonjwa huo.
Ziara
hiyo inadhaminiwa na kampuni ya Mabibo Beer Wine and Spirits Limited,
yenye haki pekee ya kusambaza vinywaji cha Windhoek Larger , Windhoek
Draught na kinywaji kisicho na kilevi cha Climax hapa nchini.
Mshauri
wa Kimataifa wa Kujitegemea wa kampuni hiyo James Rugemalira alieleza
kuwa kampuni yake ilishitushwa na kuenea kwa ugonjwa huo kwa kasi hapa
nchini ambapo kila siku watu wanapoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hivyo
alisema kuwa kampuni yake iliona umuhimu wa kufanya kila linalo
wezekana kutafuta njia za kukabiliana na ugonjwa huo bila kuchelewa.
|
Taarifa mbalimbali za tukio zikitupiwa mitandaoni na wadau sekta ya upashaji habari. |
|
Usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD na watu wake. |
|
Usiku
maalum wa Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD na watu wake pia
umewakutanisha watu hawa kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Metro Fm Smith
Swai, Peter Fabian wa gazeti la Mtanzania, Philbert Kabago toka Passion
Fm na Abdalah Tilata toka Star Tv. |
|
Kinywaji
maalum kilicho tukutanisha katika usiku maalum wa Mabibo Wines, Beer
& Spirits LTD na watu wake mkoani Mwanza, ili kupata mlo wa jioni
katika ukumbi wa Villa Park Resort.
"Ninyi wenyewe amkinywa leo,
ingawa wengi wenu ni mara ya kwanza naamini kesho mtakuja na ushuhuda
kwamba Windhock ni bia isiyo sababisha mtu kushindwa kufanya majukumu ya
siku mpya kutokana na mtu eti kukabiliwa na hangover, bia hii haina
hangover kwani ni bia iliyopikwa ikaiva kikamilifu" alisema Bwana James Rugemalira |
|
Deep katika mazungumzo ni kushoto ni Leonard Nzali wa Star Tv na Blogger Gsengo. |
|
Japo
katika engo moja ni jiografia ya eneo la tukio katika usiku maalum wa
Mabibo Wines, Beer & Spirits LTD na watu wake jijini Mwanza. | |
|
Selfie... | | | |
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia