AICC WAZINDUA MAJENGO MAPYA YA MAKAZI ARUSHA

KAIMU mkuuwa Mkoa wa Arusha, Jovika Kasunga jana akikata utepe kuzindua majengo matatu ya ghorofa ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha, (AICC) waliyojenga kwa ajili ya kupangisha yenye uwezo wa kutumiwa na familia 48, wengine ni wajumbe wa bodi ya IACC

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.