Kaimu
Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka na Mwenyekiti wa UVCCM
Mkoa wa Dar Es Salam Ndg Omar Matulanga leo na viongozi mbali mbali wa
UVCCM wamefika nyumbani kwa Ndg Saidi Ally, Mabibo hostel, kumjuilia
hali na kumfariji kufuatia mkasa wa kutolewa macho na kujeruhiwa
sehemu mbali mbali za mwili.