Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama
Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani
Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki
jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10,
2016
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli (kulia) akilakiwa na Bw. Mohamed Kikwete alipowasili kwenye
msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
leo Oktoba 10, 2016. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Majid Hemed Mwanga,
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli (kulia) akiifariji wana familia wa Bibi Maguno Binti Athumani
ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa
shemejie (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi
aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli (kulia) akimfariji akifariji wana familia wa Bibi Maguno Binti
Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye
msiba wa shemejie (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani
Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
leo Oktoba 10, 2016
Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimfariji Bibi Maguno Binti Athumani
ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa
shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani
Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
leo Oktoba 10, 2016
Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama
Salma Kikwete (kulia) akimfariji Bi Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji
yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Saburi aliyefariki
jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10,
2016
Mawaidha
yakitolewa msibani
Bw.
Yusuph Kikwete akielekeza waombolezaji sehemu ya kukaa wakati wa msiba
huo
Rais
Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mnbunge wa Chalinze Mhe
Ridhiwani Kikwete alipowasili kwenye msiba wa shemeji
yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi
aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
leo.
Rais
Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mkwewe Bi Maguno Binti Athumani
kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu
Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
leo
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli (kulia) akiongea jambo na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma
Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu)
Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko
Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016
Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya Mrisho
Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu
Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko
Bagamoyo leo
Rais Mstaafu Jakaya
Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine kwenye msiba wa shemeji
yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi
aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
leo
Rais Mstaafu Jakaya
Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine kwenye msiba wa shemeji
yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi
aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
leo
Sehemu ya
waombolezaji kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu)
marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa
huko Bagamoyo leo
Rais Mstaafu Jakaya
Mrisho Kikwete na waombolezaji wengine wakibeba mwili wa shemeji
yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi
aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo
leo
Waombolezaji wakimswalia maiti
waombolezaji wakiwa
wamebeba mwili wa marehemu Mariam Ramadhani Saburi kuelekeza
makaburini huko Bagamoyo leo
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli (kulia) akiwafariji watoto wa shemejie Rais Mstaafu Mhe
Jakaya Mrisho Kikwete, Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, aliyefariki
jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10,
2016
Sehemu ya
waombolezaji msibani
Waombolezaji wakijiandaa kupata chakula cha mchana kabla ya
maziko.
Picha na
IKULU