Roma Mkatoliki akiwapa mashabiki burudani tosho kwenye tamasha la Tigo fiesta uwanja wa Umoja Nangwanda mkoani Mtwara
|
Msanii Manfongo akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Umoja Nangwanda Mtwara jana |
Jay Moe akiwaburudisha wakazi wa Mtwara katika tamasha la Tigo Fiesta |
Joh MAKINI Akitumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta usiku wa jana mjini Mtwara |
Weusi wakilivamia katika jukwaa la Tigo Fiesta |
Msanii toka Mtwara aliyepatikana katika shindano la Super Nyota akitumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta |