Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat
Mhandisi,Mwanasha Tumbo katika akiongozwa na Diwani wa Kata ya
Potwe,Rashid Mdachi na Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Zeneti
wakitembelea Jengo jipya la Zanahati ya Zeneti iliyojengwa kwa
ushirikiana baina ya Halmashauri,Wananchi na Shirika la World Vision na
Mbunge wa Jimbo hilo ambalo limegharimu kiasi cha milioni
35.2
Kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa
Wilaya ya Muheza,Mathew Mganga akimuongozwa Mkuu wa wilaya ya Muheza,
Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyetembelea zahanati ya Zeneti kuona
jinsi inayoendelea na ujenzi wake kushoto kwake ni Mwenyekiti wa
Serikali ya Kijiji cha Zeneti
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat,
Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akiingia kwenye vyumba vya zahanati mpya
ya Zeneti kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza,Lwiza
Mlelwa
Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Mathew Mganga kulia akisisistiza jambo kwa Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kutoka kushoto kuhusu
ujenzi wa zahanati hiyo katikati ni Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid
Mdachi
Diwani wa Kata ya
Potwe,Rashid Mdachi akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat
Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kulia
Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akisisitiza jambo kwa
Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat
Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akiangalia baadhi ya vyoo vya Zahanati
hiyo wakati alipoitembelea kuikagua na kuona namna ujenzi wake
unavyoendelea.
Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi akizungumza na wananchi katika ziara hiyo ya Mkuu wa wilaya katika Zahanati ya Kijiji cha Zeneti |
Mwenyekiti
wa Serikali ya Kijiji cha Zeneti akiongea kwenye ziara hiyo ya mkuu wa
wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akielezea mipango ya Halmashauri kuhusiana na kuhakikisha huduma za Afya zinawakuwa karibu na wananchi |
Kaimu
Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mathew Mganga akizungumza na wananchi
wa Kijiji cha Zeneti wakati za ziara ya Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akipitia taarifa ya ujenzi wa Jengo la Zahanati ya Kijiji cha Zeneti iliyopo Kata ya Potwe wilayani humo |
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa nne kutoka kushoto akiwasilikiza wananchi waliokuwa wakiulioza maswali kwenye ziara hiyo |
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha
Zenethi Kata ya Potwe wilaya ni Muheza wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya
Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye alifanya ziara ya
kutembelea ujenzi wa zahanati ya Kijiji hicho
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat
Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akisikiliza kero ya mmoja wa wananchi
ambaye alimfuata mara baada ya kumalizika mkutano baina yake na wananchi
hao kulia ni Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi
Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya
Muheza,Mathew Mganga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mikakati
waliojiwekea kuhakikisha wanazipatia ufumbuzi changamoto za Afya.