mbunge wa jimbo la mbeya mjini Josephy Mbilinyi(sugu) akiwa na anaongea na mwenyekiti wa chadema fremaan mbowe ,katibu Dr,Slaa pamoja na Mbnge wa jimbo la moshi mjini Ndesamburo mara baada ya kesi yao kuhairishwa
washikaji pesa kamanda
Asee nawewe wakili leta ela ya wafungwa bwana tuwapelekee sabuni na mafuta ya kupaka
mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiwa anaesabu hela alizozipata kwa ajili ya kupeleka kwa wafugwa
Mwenyekiti wa chadema freeman Mbowe akiwa na katibu wake Dr.slaa wakiwa wanajadili jambo mara baada ya kesi yao kuhairishwa