Ticker

6/recent/ticker-posts

SHOW YA EPIQ NATION - ARUSHA

Maandalizi Ya Show Ya Epiq Nation Jukwaa Likitengenezwa Mida Ya Asubuhi
  1. JCB Mwenyeji Wa Showa Ya Epiq Akiwa Na The Nondo Chid Benz
Maandalizi kabla ya Showa Ya Epiq Kuanza

Dancers Wa Prezoo Toka Kenya
Mtu  Mzima Prezo Juu Ya Jukwaa Akifanya Mambo
Kulikuwa na Nyomi ya Kutosha Ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid katika show  Ya Epiq Nation
Baada ya Show Ilikuwa Ni Ku show Love na Camera ya Dj Nass Hapo Ni Prezzo & Dogo Janja na MC Wa prezooKushoro

Mtu  Mzima Prezo Juu Ya Jukwaa Akifanya Mambo
Msanii ROMA Akiwa Juu ya Jukwa

Post a Comment

0 Comments