MAURINE AYUBU NDIO MSHINDI WA SHINDANO LA MISS KANDA YA KASKAZINI

 mshindi wa Miss kanda ya kaskazini Maurine Ayubu akiwa anapunga mara baada yakutangazwa kuwa mrembo wa taji hilo akifuatiwa na mshindi wa pili Glory Stephen huku wa tatu akiwa ni Eligiver Mwasha warembo wote hawa wanatarajiwa kuingia kambini kushiriki shindano la miss Tanzania
 mmiliki wa blog ya libeneke la kaskazini akiwa na wanamuziki wa bendi ya Fm Academia katika onyesho hilo
wa tatu kulia ni dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge nae aliuthuria katika onyesho hilo la kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini
 wazee wa gwasuma wakiwa kazini


 dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge akiwa anaongea na washabiki waliuthuria ikiwa ni pamoja na kuwakaribisha katika shindano la kumsaka mrembo wa kanda ya ziwa (miss kanda ya ziwa ) ambalo linatarajiwa kufanyika mapema mwezi wa tisa mwaka huu(PICHA ZOTE NA WOINDE SHIZZA,ARUSHA)

 Mwandaaji wa shindano hilo wa kwanza kulia akiwa ana show love na a shabiki wake

 Meneja wa mkoa wa Arusha  kampuni ya Bima ya Britam naye aliuthuria katika show hiyo ya kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini






 wasani wa muziki wa kufokafoka nao waliuthuria usiku huu wa kumsaka mrembo wa kanda yakaskazini
 mweyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha naye aliuthuria katika show hiyo






 hawa ndio majaji waliokuwepo siku hiyo
 Muaandaaji wa shindano hilo Faustine Mwandago akiwa na warembo walioingia walishinda siku hiyo

 Rais wa Bendi ya FM Academia (wazee wa Gwasuma ) akiwa anaonyesha mambo yake ndani ya onyesho hilo
 wa kwanza kushoto ni mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi ya  GEO Security ambaye pia ni mthamini wa shindano hilo akifuatilia show ya  Fm Academia
 wakurugenzi wa hotel ya  Clous View ambao nao ni wathamini wa shindano hili wakifuatilia shindano halisi
Hawa ndio warembo wote 12 walioshirki shindano la kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini katika ukumbi wa Triple A arusha

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post