Aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akiwa katika chumba cha Mahakama kabla ya kuanza kusikilizwa kesi hiyo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015
Wafuasi wa aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu wakiwa katika chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kabla ya kuanza kusikilizwa
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea (kulia) akiteta jambo na Mwanasheria wa Serikali ambae jina lake halikupatikana mara moja katika chuma cha Mahakama Kuu ya Tanzania mara baada ya kesi hiyo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, kuahirishwa
Aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (wapili kulia) akitoka nje ya mahakama kuu ya Tanzania baada ya kesi hiyo ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015
Katibu mwenezi Kata ya Miburani Ally Kamtande akizungumza na wafuasi wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu baada ya kumalizika kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog