RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA UWANJA WA FURAHISHA
bywoinde-
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya
kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la
Kirumba jijini humo.