Ratiba ya Usaili Maisha Plus East Africa 2016
Inbox
x
Krantz Mwantepele
29 Jul (3 days ago)
to bcc: me
Habari mdau pokea codes,
Baada ya Usaili kufanyika kwa kishindo katika mikoa ya Mtwara na Dar es salaam usaili wa Maisha Plus unaendelea katika mikoa mingine ndani ya Tanzania.
30/07/2016 - MBEYA - Ukumbi wa City Pub
31/07/2016 - IRINGA - Savanna Garden
02/08/2016 - DODOMA - Matei Lounge
04/08/2016 - MWANZA - Rock Garden
06/08/2016 - ARUSHA - Via Via
13/08/2016 - ZANZIBAR - Ngome Kongwe
Vijana wote wenye umri wa miaka 18 - 26 wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi. Elimu na ujuzi ni kiwango chochote. Zawadi kwa mshindi ni Tzshs. Milioni 30.
Fomu zinapatikana BURE kabisa kupitia www.maishaplus.tv na katika maeneo tajwa hapo juu.
Maisha Plus East Africa 2016 | #VijanaNdioNgazi #HapaKaziTu
Bofya hapa chini kuona video 33 fupi za usaili wa Maisha Plus Dar es salaam.