mchekeshaji maarufu nchini Kenya,Eric Omodi akitumbuiza katika
onyesho lililofanyika katika hoteli ya New Arusha na kisha baadaye
Njeree Bistro nje kidogo ya jiji la Arusha
dada yetu viola nae alihuthuria katika tamasha hilo apa akiwa anateta jambo na Eric Omondi