NEW:DAR BONGO MASSIVE -LOVE {OFFICIAL AUDIO}

Dar Bongo Massive ni moja kati ya kundi la wasanii wa muziki nchini Tanzania wenye vionjo vya kiasili, unapo zungumzia Dar Bongo Massive, hapo ujue umemzungumzia Goody sense, Big Inno na Digospy. Ikiwa ndio kwanza tunauanza mwaka 2018 Dar Bongo Massive wamefungulia goli kwa truck mpya ambayo imepewa jina la 'LOVE' ngoma hii imetengenezwa katika studio ya B Hits Records chini ya usimamizi wa Producer maarufu kama Pancho Latino.

Kumbuka Dar Bongo Massive wanangoma nnyingi Mchawi, Nataka Kino Leo, ‘Shaghala Baghala’ na zingine kibao.



About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia