TUTAPINGA KWA NGUVU ZOTE MSWADA WA KUZUIA MIKUTANO YA SIASA NCHINI :ZITTO KABWE
Leo Januari 24,2018 kipindi cha majadiliano cha TUJADILIANE
kinachorushwa na vyombo vya habari (Redio na TV) vinavyorusha matangazo
yake kutokea Jijini Mwanza, kimezungumza na Mhe.Zitto Kabwe ambaye ni
mbunge jimbo la Kigoma Mjini, Mchumi na Kiongozi wa chama (ACT
Wazalendo).
Mhe.Kabwe amefunguka mambo mengi kwenye kipindi hicho kinachoandaliwa na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania UTPC ikiwemo Uchumi wa Taifa, Mstakabali wa siasa nchini, hofu ya mswada wa kuzuia mikutano ya siasa, chama na mengineyo katika mahojiano hayo yaliyoongozwa na Mtangazaji Dotto Bulendu.

Mbunge
wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo) Mhe.Zitto Kabwe (kulia), akizungumza
kwenye kipindi cha Tujadiliane kinachoandaliwa na UTPC. Kushoto ni
mtangazaji wa kipindi hicho Dotto Bulendu. Kipindi hicho hurekodiwa na
kurushwa na vyombo vya habari washirika kutoka Mwanza.

Mbunge
wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo) Mhe.Zitto Kabwe (kulia), akizungumza
kwenye kipindi cha Tujadiliane kinachoandaliwa na UTPC. Kushoto ni
mtangazaji wa kipindi hicho Dotto Bulendu.

Washiriki wa kipindi hicho akiwemo Mkurugenzi wa UTPC Abubakary Karsan (kulia) wakifuatilia kipindi hicho.

Mkurugenzi
wa UTPC Abubakary Karsan akizungumza wakati wa ufunguzi wa kipindi
hicho (kipindi hurekodiwa na kurushwa na vyombo vya habari washirika
kutoka Mwanza).

Baadhi ya viongozi wa ACT Wazalendo mkoani Mwanza.

Baadhi ya washiriki

Baadhi ya wanahabari.
About Woinde Shizza
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia