.
"Jioni Hii ya Leo tarehe 28/01/2018 Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha Mh Mrisho Gambo ,Amekutana Na Nabii Mkuu Mh Dk Geordavie Katika Hoteli Ya The Arusha By Sheraton Ili Kusalimiana Na Kupokea Baraka Za Kinabii".
Katika Mazungumzo Yao Mh Mkuu Wa Mkoa amekiri Kuwa Aliwahi Kuhudhuria Ibada Za Ngurumo Ya Upako kwa mwaka 2008 ,Alipokuwa Masomoni Katika Chuo Cha Uhasibu Arusha ,Na Kusema Kuwa Alikuwa Akibarikiwa Sana Na Huduma Anayoitoa Baba Mh Nabii Mkuu Dk Geordavie."
Katika Tukio Hilo Mh Mkuu Wa Mkoa Aliambatana Na Mke Wake Pamoja Na Watoto Wake.