Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Singida Vijijini Bi Grace Shindika Akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
.Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (katikati) akizungumza na Mgombea Ubunge Jimbo ;la Singida Kaskazini ndg: justine Monko (kwanza kushoto) pampoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Ndg:Juma Kilimba.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe: Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida mhe: Martha Mlata akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ndg:Juma kilimba akizungumza katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida.
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akizungumza na kumnadi Mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida
Viongozi wakifurahia jambo
Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini Ndg:Justine Monko akijinadi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kata ya Kinyeto Wilaya ya Singida Kaskazini Mkoani Singida (PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)