Mkurugenzi
Mkuu wa shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa),Allan Kijazi akizungumza
kwenye kikao cha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili
na Mazingira iliyofanya ziara ya kikazi kwenye Hifadhi ya Taifa Ziwa
Manyara mkoa wa Arusha,kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Japhet Hasunga.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence Millanzi
akizungumza kwenye kikao na kamati hiyo,kushoto ni Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii,Japhet Hasunga na Makamu Mwenyekiti wa kamati
hiyo,Kemilembe Lwota akifatilia kwa makini.
Mbunge
wa jimbo la Sumve mkoa wa Mwanza,Richard Ndassa(kushoto),Naibu Waziri
wa Maliasili na Utalii,Japhet Hasunga(katikati) na Meneja Mawasiliano wa
Tanapa,Pascal Shelutete wakiwa ndani ya Hifadhi hiyo.
Meneja
Ujirani Mwema wa Tanapa,Hemed Mbugi akitembea juu ya daraja linalo
‘bembea’ ambalo ni moja kivutio kwa watalii wa nje na ndani.
Mbunge
wa jimbo la Mtama mkoa wa Lindi akifurahia daraja linalo ‘bembea’
ambalo ni moja kivutio kwa watalii wa nje ya nchi na ndani.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Kemilembe Lwota akitembea juu ya daraja hilo.
Meneja
Mawasiliano wa Tanapa,Pascal Shelutete naye hakua nyuma kutembea juu ya
daraja hilo ambalo limeongeza shughuli za utalii kwenye hifadhi hiyo.
Wajumbe
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira wakiwa juu
ya daraja maalumu lililojengwa kuwawezesha watalii kuwaona wanyama aina
ya Viboko na aina mbalimbali za ndege.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Japhet Hasunga akifurahia mandhari ya
daraja linalomwezesha mtalii kuona vizuri eneo la Ziwa Manyara.