Msanii wa kujitegemea akichangamsha Uwanja kabla ya michuano hiyo kuanza
|
Kibamba Warious na Mpakani FC wakiwa tayari kwa mtanange
|
MC akitangaza hatua mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa michuano hiyo
|
Wadau wa friends Of Tulia wakiwa kwenye michuano hiyo |
Mgeni rasmi akienda kukagua timu ili mpambano uanze |
Mgeni Rasmi akisalimiana na mwamuzi wa mechi hiyo |
Mgeni rasmi akisalimia wachezaji wa timu ya Kibamba Warious
|
Mgeni rasmi akiwa na baadhi ya viongzi baada ya kukagua timu
|
Timu zikiwa tayari kwa mpambano |
Mmoja wa waraibu wa michuano hiyo Moreen akisoma risala
|
Mwenyekiti wa Friends of Tulia akizungumza kabla ya mpambano kuanza
|
Wadau wa Friends of Tulia wakiwa kwenye michuano hiyo |
Wadau wa Friends Of Tulia |
Baadhi ya wadau wakiwa na wachezaji |
Mdau wa Friends of Tulia akiwa na baadhi ya wachezaji |
Mgeni rasmi akijiandaa kupiga mpira kuanshiria mechi kuanza
|
Mgeni rasmi akiwa ameshapiga mpira |
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na timu zote |
mpambano ukaanza |
"vipi umenusurika?' refa akimuuliza mchezaji huku akimpapasa baada ya mchezaji wa timu ya Kibamba Warious baada ya kuchezewa vibaya na mchezaji wa Mpakani FC
|
Kipa wa Mpakani FC akiuangalia mpira wakati ukiingia kimiani kufuatia penati iliyopigwa na mchezaji wa Kibamba Warious kutokana na mchezaji wa timu hiyo kufanyiwa rafu katika eneo la hatari
|
Mpambano ukiwa umeiva |
Mdau wa Friends of Tulia akiwa na mmoja wa wasanii waliofika kuhangamsha uzinduzi wa Tulia Cup |
Mwandishi wa Uhuru FM akiwa na mmoja wa wasanii waliofika kutia chachandu michuano hiyo
|