Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa
Mongella katika mji mdogo wa Nansio Februari 18, 2018. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya wananchi wa Ukerewe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mongella katika
mji mdogo wa Nansio Februari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye
uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio kuhutubia mkutano wa
hadhara, Februari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga
aliyepakatwa na mama yake mzazi, Dianna Malele (kushoto) wakati
alipozindua zahanati ya Nakatunguru wilayani Ukerewe, Februari 18,
2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga
aliyepakatwa na mama yake mzazi, Rizika Shaka (kushoto) wakati
alipozindua zahanati ya Nakatunguru wilayani Ukerewe, Februari 18, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)