Flag this message MAMILIONI YATUMIKA KUJENGA WODI YA WATOTO Woinde Shizza Saturday, July 30, 2011 Add Comment JUMLA ya kiasi cha sh,182,424,868,00 millioni zimetumika kukamilisha ujenzi wa wadi wa watoto katika hospitali ya Nkoaranga inayomilikiwa ch... Read More
Flag this message WATUMISHI WA HOTELI KUBORESHEWA MASLAHI YAO. Woinde Shizza Saturday, July 30, 2011 Add Comment UONGOZI wa hoteli ya kitalii yenye hadhi ya nyota nne ya Mount Meru iliyopo mkoani Arusha umeweka mkakati maalumu wa kuanza kuboresha maslah... Read More
NAMIMI NASOMA GAZETI PIA BWANA Woinde Shizza Thursday, July 28, 2011 Add Comment Baadhi ya waariri wa magazeti akiwemo Mchunguzi wa gazeti la nipashe wakiwa wanasoma magazeti wakati walipo kuja kwenye semina mjini Arusha Read More
WANAFUNZI WAKATISHA MITIANI KISA UMEME Woinde Shizza Thursday, July 28, 2011 Add Comment CHUO kikuu cha Arusha(UOA) kampasi ya Arusha mjini kimelazimika kukatisha mitihani yake mara kwa mara kutokana na tatizo la mgao wa umeme un... Read More
RADIO 5 MABIGWA TAMASHA LA WAANDISHI Woinde Shizza Thursday, July 28, 2011 Add Comment TIMU ya soka ya kituo cha Radio 5 juzi, imetwaa ubingwa wa soka katika tamasha la waandishi wa habari kanda ya kaskazini, baada ya kuichapa... Read More
YALIYOJIRI TAMASHA LA WAANDISHI ARUSHA Woinde Shizza Wednesday, July 27, 2011 Add Comment KATIKA TAMASHA HILI LA WAANDISHI KIKOMBE KILIWEZA KUBAKI MKOANI ARUSHA KWANI TIMU YA RADIO 5 ILISHIKA NAFASI YA KWANZA IKIFUATIWA NA TIMU YA... Read More
U-23 WAILIZA SEYCHELLES Woinde Shizza Wednesday, July 27, 2011 Add Comment picha ikionyesha mchezaji wa timu ya Tanzania ya U-23 Jamal Mnyata akiwa anajaribu kumponyoka beki wa timu ya Seychelles Bibi Jonathan katik... Read More
AHAIDI KUTOA KOMPYUTA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA JIMBONI KWAKE Woinde Shizza Wednesday, July 27, 2011 Add Comment MBUNGE wa Jimbo la Babati Vijijini mkoani Manyara Virajlal Jituson ameahidi kusambaza kompyuta katika shule zote 31 za sekondari zilizopo ji... Read More
MADIWANI WATAKIWA KUTOWAKATAA WATUMISHI WAO Woinde Shizza Wednesday, July 27, 2011 Add Comment madiwani nchini wametakiwa kutowakataa watumishi wanaofanya kazi kwenye Halmashauri zao kwani kufanya hivyo ni kwenda kinyume na sheria ya u... Read More
VIONGOZI WA DINI WATAKIWA KUSHIRIKI KUPAMBANA NA RUSHWA Woinde Shizza Wednesday, July 27, 2011 Add Comment VIONGOZI wa dini wa madhehebu mbalimbali nchini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya rushwa kwa kuwaelimisha waumini wa... Read More
MADEREVA DALADALA ARUSHA WAGOMA ,ABIRIA WANAFUNZI WALA MSOTO Woinde Shizza Monday, July 25, 2011 Add Comment wanafunzi wakichangamkoa usafiri wa boda boda ili kuwahi masomo Mamia ya wanafunzi na baadhi ya wananchi wakiwa wamejikusanya katika barabat... Read More
MADEREVA WAGOMA ,WANAFUNZI WATELEKEZWA BARABARANI Woinde Shizza Friday, July 22, 2011 Add Comment Zaidi ya maderevan 60 wa mabasi ya abiria (daladala) zinazofanya safari zake kuelekea Ungalimited kuja mjini na mjini Sokoni one leo wameg... Read More
KATIBU MKUU TFF KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA WAANDISHI ARUSHA Woinde Shizza Friday, July 22, 2011 Add Comment KATIBU mkuu wa Shirikisho wa shirikisho la soka nchini(TFF), Angetile Oseah anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la sita la waandishi... Read More
Dr. HOSEA ATOA KALI ADAI WATUHUMIWA KESI YA KAGODA WAMEKUFA Woinde Shizza Friday, July 22, 2011 Add Comment MKURUGENZI TAKUKURU Dk.Edward Hosea amevunja ukimya kuhusu suala la Kagoda kwa kudai kuwa ushahidi wa kesi Kagoda uligonga mwamba baada ya k... Read More
NDANDA KOSOVO KUPAMBA TAMASHA LA WAANDISHI ARUSHA Woinde Shizza Wednesday, July 20, 2011 Add Comment mwanamziki Ndanda Kosovo akiwa na waimbaji wake wakati wakiimba mbele ya waandishi wa habari ambapo wanatarajiwa kupamba tamasha lao linalof... Read More
SENETA WA JIMBO LA OVIGON MAREKANI AZURU ARUSHA Woinde Shizza Wednesday, July 20, 2011 Add Comment Seneta Jack Winter wa jimbo la Ovigon Marekani akiwa anacheza na kikundi cha ngoma mara baada ya kutembelea katika kituo cha kulelea watoto ... Read More
ROLLING YATOA VIJANA WENGI Woinde Shizza Monday, July 18, 2011 Add Comment Mkurugenzi wa Rolling stone Ally Mtumwa akiongea na waandishi wa habari MASHINDANO ya soka ya vijana ya Rolling Stone yalianza mwaka 2000 w... Read More
WATAKIW A KUFUNGUA MIPAKA Woinde Shizza Monday, July 18, 2011 Add Comment Serikali imetakiwa kufungua mipaka yote ya kuuza mazao ya chakula ili wakulima waweze kunufaika na kilimo chenye tija kwani kufungwa kwa mi... Read More
JKT MBWENI YANYAKUA TAJI Woinde Shizza Monday, July 18, 2011 Add Comment Chama cha Netball nchini CHANETA,kimetoa baraka kwa vilabu vya netball kusajili wachezaji kutoka nje ya nchi kwa lengo la kuinua ari na kuub... Read More
TAMASHA LA FIESTA WATATU WACHOMWA VISU ARUSHA Woinde Shizza Monday, July 18, 2011 Add Comment Watu watatu wamejeruhiwa vibaya baada ya katika tamasha la muziki la Fiesta lililiofanya juzi katika kiwanja cha Sheikh Amri Abeid jijini h... Read More
MREMBO WA KANDA YA KASKAZINI APATIKANA Woinde Shizza Saturday, July 09, 2011 Add Comment Warembo wote watano wakiwa katika picha ya pamoja wa katikati ni Zebeda Self miss kanda anayemfata kushoto ni mshindi wa tatu Rose Habati k... Read More
MASHINDANO YA ROLING STONE KUANZA RASMI KESHO Woinde Shizza Friday, July 08, 2011 Add Comment Mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kama Roling stone yanatarajia kuanza kutimua vumbi kesho katika uwanja wa Kumbukumbu za Sheikh Amr... Read More
WATATU WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI TOFAUTI Woinde Shizza Friday, July 08, 2011 Add Comment Watu watatu wamefariki dunia mara baada ya kugogwa na magari katika sehemu tofauti mkoani hapa. Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo kaimu... Read More
KILO 347 ZA MIRUNGI ZAKAMATWA Woinde Shizza Friday, July 08, 2011 Add Comment Jeshi la polisi mkoani hapa limewakamata wafanyabiashara 12 wakiwa na viroba 40 vya Mirungi ambavyo vina uzito wa kilo 347 . Akiongea na ... Read More
MAJAMABZI SUGU WATANO WATIWA NGUVUNI Woinde Shizza Monday, July 04, 2011 Add Comment JESHI la Polisi Mkoani Arusha, linawashikilia majambazi sugu watano, wakihusishwa na matukio mbalimbali ya uporaji ikiwemo kuhusika katika... Read More
LIGI DARAJA LA KWANZA NETBALL YAANZA POLISI ARUSHA ,MAGEREZA WAANGUKIA PUA Woinde Shizza Monday, July 04, 2011 Add Comment kikundi cha ngoma cha Jkt Oljoro kikitumbuiza na kwaya Timu ya polisi Arusha ya mchezo wa netball ambayo inashiriki katika mashindano ya lig... Read More
LIGI DARAJA LA KWANZA NETBALL KUANZA KESHO Woinde Shizza Saturday, July 02, 2011 Add Comment Wadau mbalimbali wa michezo wa mkoa wa Arusha wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika mashindano ligi daraja la kwanza ya mchezo wa pete ya... Read More
MGOGORO WA ARIDHI WAZUKA SIMANJIRO Woinde Shizza Saturday, July 02, 2011 Add Comment MGOGORO mkubwa wa ardhi umeibuka katika kijiji cha Lormolijoi kata ya Langai wilayani Simanjiro mkoani Manyara mara baada ya baadhi wananchi... Read More
WAPATIWA CHAKULA CHA MSAADA Woinde Shizza Saturday, July 02, 2011 Add Comment Ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa kimetola tani za 1,300 za mahindi kwa wakazi wa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kuwaga... Read More