BREAKING NEWS

Saturday, July 9, 2011

MREMBO WA KANDA YA KASKAZINI APATIKANA



Warembo wote watano wakiwa katika picha ya pamoja wa katikati ni Zebeda Self miss kanda anayemfata kushoto ni mshindi wa tatu Rose Habati kulia kwake ni mshindi wa pili Stece Alfred amfatae mshindi wa pili ni mshindi wa nne Dorikas Jeradi wote wakionyesha nyuso za furaha


mshindi wa miss Vodacom kanda ya kaskazini, kati kati, Zebeda Self, akiwa na mshindi wa pili Stece Alfred na mshindi wa tatu Dorcas Jerald jana mara baada ya kutangazwa wahindi katika shindano lililofanyika Snowcrest hotel



Meneja wa kanda wa kampuni ya Vodacom ambao ndio wathamini wa kuu Mr.Nguvu akiwa na mshindi wa kanda mara baada ya kutangazwa



miss Vodacom Kanda ya kaskazini zubeda self toka mkoani Tanga akiwa anapita jukwaani juzi katika hoteli ya Snowcrest katika shindano lililoshirikisha warembo 12



mrembo aliyeshika nafasi ya pili kushoto ambeye ametokea mkoa wa Arusha Stece Alfred akiwa ameshikana mkono na mrembo aliyeshika nafasi ya kwanza aliyetoka mkoani Tanga zubeda self kabla ya kyutangazwanani kati yao ndie kawa mrembo wa kanda ya kaskazini


msanii wa kike anayetamba na nyimbo mbalimbali za mapenzi kutoka katika kundi la THT Lina akitumbuiza jukwaani katika usiku huo wa kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini


warembo wote wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchujo wa tano bora


warembo wa kanda ya kaskazini wakicheza wimbo wa utambulisho jana

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates