SENETA WA JIMBO LA OVIGON MAREKANI AZURU ARUSHA


Seneta Jack Winter wa jimbo la Ovigon Marekani akiwa anacheza na kikundi cha ngoma mara baada ya kutembelea katika kituo cha kulelea watoto yatima wakati alipokuwa na ziara ya kutembelea baadhi ya vituo ambavyo vinasimamiwa na shirika la Ophans Foundation la mkoani hapa



mwenyekiti wa Ophans Foundation Akiwa amejiunga kucheza na seneta huyo katika ngoma iyo ya jadi



seneta Jack Winter akitoa hela mara baada ya kuchagua hereni za kimasai seneta amevaa shuka la kimasai


wageni waliokuwa wanaongezana na seneta Jack Winter wakiwa wanachagua vitu vya asili vilivyokuwa vikiuzwa nawamama wajane wanaosimamiwa na shirika ilo la Ophans Foundation

Post a Comment

0 Comments