BREAKING NEWS

Wednesday, July 27, 2011

YALIYOJIRI TAMASHA LA WAANDISHI ARUSHA

KATIKA TAMASHA HILI LA WAANDISHI KIKOMBE KILIWEZA KUBAKI MKOANI ARUSHA KWANI TIMU YA RADIO 5 ILISHIKA NAFASI YA KWANZA IKIFUATIWA NA TIMU YA TASWA FC YA JIJIINI DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Arusha Abraham Gwandu akiwa anateta na baadhi ya waandishi waliouthuria katika tamasha hilo,apo kunamwandishi wa TBC leonadi manga


Mwanamziki Ndanda kosovo akiwa anabadilishana mawazo na watangazaji wa Radio 5 katika siku iyo ya tamasha la waandishi



mwenyekiti wa timu ya wazee klabu Danford Mpumilwa akikagua wachezaji wa timu ya maveterani kutoka kenya katika mechi iliyokuwa ikichezwa ya kirafiki baina ya wazee klabu na maveterani wa kenya


mwanamuziki Ndanda kosovo wa katika kati aluevaa tisheti ya mistari ambaye ameweka makazi yake mkoani Arusha akiwa anafanya vitu vyake na bendi yake katika sherehe za tamasha la waandishi wa habari lililofanyika mkoni hapa

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates