WAKURUGENZI NCHINI WACHAGUA VIONGOZI WAO MD KAYOMBO JOHN AWA MUWEKA HAZINA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo   Ndg John Lipesi Kayombo ambaye kachaguliwa kuwa MUWEKA HAZINA wa  Wakurugenzi nchini ...
Read More

SHIRIKA LA EfG LAPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA SOKO LA MCHIKICHINI NA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM

  Mwenyekiti wa Soko la Ilala Mchikichini, Jumanne Kongogo, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu...
Read More

MTANZANIA ALIYEWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA MUDA MFUPI AMUANGUKIA WAZIRI MWAKYEMBE

Gaudence Lekule akiwa katika kilele cha Uhuru ,Mlima Kilimanjaro baada ya kukimbia kwa muda wa wa saa 8:36 mpya akiwa Mwafrika na Mtanzan...
Read More

AGPAHI YAADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA KIFUA KIKUU – MERERANI, MKOA WA MANYARA

  Picha ya pamoja katika maadhimisho ya kifua kikuu -  Mererani. Shirika lisilo la kiserikali la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healt...
Read More

WAZIRI MWIGULU AWAASA ASKARI KUTOWABAMBIKIZIA WATU KESI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kazi cha Mwaka 2017 cha Maafisa w...
Read More

ZINGATIA KUNUFAIKA NA OFA MBALIMBALI ZINAZOTANGAZWA

Na Jumia Travel Tanzania Ni mara ngapi umeshawahi kusikia ofa mbalimbali za mtangazo ya biashara kupitia vyombo vya habari? Je huwa ...
Read More