HIVI NDIVYO JINISI WANAWAKE WA ARUSHA WALIVYO ATHIMISHA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SHEREHE ZILIZOANDALIWA NA BI PHIDESIA MWAKITALIMA KWA KUWAPA FURSA WAKAZI WA ARUSHA KUPIMA MAGONJWA MBALIMBALI BURE KWA MUDA WA WIKI NZIMA

 Moja ya madaktari walikuwa wanatoa huduma katika kilele cha siku ya wanawake duniania ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa anatoa maelekezo kwa mgeni rasmi ambaye alikuja kufunga wiki hiyo ilifanyika katika viwanja vya sheikh Amri Abeid Catheine Magine  wa tatu kulia 
 MMoja wa daktari anaepima  kutoka hospitali ya maunti meru akitoa idadi ya wagonjwa ambao wamepimwa shingo ya uzazi  na kubainisha ambao wamekutwa na tatizo
daktari aliyekuwa anafanya kazi ya kuchukuwa damu kwa ajili ya wodi za kina mama akiwa anamweleza mgeni rasmi ni chupa ngapi za damu ambazo wamezikusanya katika zoezi hilo
 mwandaaji wa wiki ya wanawake duniani kwa mkoa wa Arusha Phidesia Mwakitalima wa kwanza kushoto akiwa na mgeni rasmi wakibadilishana mawazo

mwandaaaji wa wiki ya wanawake duniani Bi Phidesia Mwakitalima akiwa amkaribisha mgeni rasmi ayupo pichani kuhutubia athara iliouthuria katika maathimisho hayo

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.