Mbunge wa Jimbo la
Tanga(CUF),Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na wananchi wa Makorora
Jijini Tanga leo wakati wa Hafla ya Makabidhiano hayo
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa
Makorora Ally Kivurande aliyevaa kanzu akimshukuru Mbunge huyo
aliyesimama kulia akisalimia na mama mzazi wa Mlemavu huyo Mariam
John
Mbunge wa Jimbo la
Tanga(CUF),Alhaj Mussa Mbaruku akisalimiana na Mama Mzazi wa Mlemavu wa
Miguu Mariam John mara baada ya kumkabidhi mwanae baiskeli ya kutembelea
Mbunge wa Jimbo la
Tanga(CUF),Alhaj Mussa Mbaruku akisisitiza jambo kwa
Mwenyekiti wa
Serikali ya Mtaa Makorora Ally Kivurande
Mbunge wa Jimbo la
Tanga(CUF),Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na wananchi wa Mtaa wa
Makorora Kata ya Makorora Jijini Tanga
Mbunge wa Jimbo la
Tanga(CUF),Alhaj Mussa Mbaruku wa pili kushoto akimsikiliza mkazi wa
Makorora Jijini Tanga mara baada ya kumalziika zoezi la kukabidhi
Baiskeli
Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha.