Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph
Omari akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo na Warsha ya Wanahabari
za michezo juu ya maadili ya utangazaji kwenye radio na Televisheni na
kuzingatia taaluma
Mwandishi wa habari mkongwe kutoka kituo cha Azam
Televisheni , Baruani Muhuza akitoa somo kwa wanahabari hao walifika
katika mkutano huo juu ya umuhumu wa weledi wa taaluma
Mkurugenzi mtendaji wa makampuni ya Superdoll, Jamal
Baiser akizungumza wakati wa mafunzo hayo kwa watangazaji wa waandishi
wa habari za michezo
Evance Mhando akichangia mada katika mkutano huo ambao uliweza kuwajenga watangazaji kufuata weledi
Mwalimu Alex Kashasha akitoa mada juu ya kuwaleta
wasikilizaji na watazamaji kuwa sehemu ya watu waliopo uwanjani pasipo
kusababisha mfarakano wa moyo na kulaumu marefa na wachezaji kutokana na
aina ya utangazaji tulionao sasa
Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakifatilia kwa makini masomo yalikuwa yakitolewa katika mafunzo hayo
Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo wakifatilia kwa makini masomo yalikuwa yakitolewa katika mafunzo hayo
Msemaji wa shirikisho la Soka nchini ,Alfred Lucas
Mapunda akizungumza na juu ya watangazaji kusomana kufuata kanuni za
ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara na mashindano mengine hili kuweza kuwa
na majibu sahii pindi wanapokuwa wanatangaza mpira
Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Superdol , Jamal
Baiser akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya
Michezo, Yusuph Omari ambaye alimwakilisha waziri wa haabri Vijana
utamaduni na Michezo Nape Nnauye
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia