Na awoinde Shizza,Arusha
Bandi ya Music ya mjengoni iliopo Jijini hapa leo inatarajiwa kunogesha usiku wa ladys night unaotarajiwa kufanyika katika ukumbi WA disco.
Akiongea na waandishi wa habari Rais wa band Robert Mukongya (Digital) alisema kuwa bendi hiyo inaanza kuburudisha majira ya saa moja kamili Usiku
Alisema kuwa bendi hiyo imejipanga kutoa burudani katika mji wa Arusha na vitongoji vyake
Alibainisha Kuwa katika Usiku huu wa ladys night wanaume watalipa elfu 5000 tu huku wanawake wakiingia bure