Kamati
ya Utalii ya Jiji la Mbeya iliyopo chini ya Halmashauri ya Jiji kupitia
kwa Afisa Utalii Bi.Levina Modest jana ilifanya ziara ya kuitembelea
Shule ya Sekondari Iyunga iliyopo Mkoani hapo kwa kushirikiana na wadau
wakubwa wa masuala ya Utalii Jijini Mbeya, Uyole Cultural Tourism
Enterprises chini ya Mratibu wake Amos Mwamugobole na Asasi nyingine
isiyo ya kiserikali iitwayo ELIMISHA chini ya Mkurugenzi wake Bw.Festo
Sikagonamo.
Katika Ziara hiyo wajumbe wa Kamati walionyeshwa Vitu mbalimbali vilivyotengenezwa toka enzi za Mkoloni Mjerumani. Akiongea kwa bashasha kuu Mwalimu mwandamizi wa Michezo,Habari na Utamaduni Sekondari ya Iyunga, Mwalimu Emmanuel Michael ameelezea kwa marefu kuhusu kumbukumbu za kale zilizopo shuleni hapo ikiwemo kengere ya kale,birika,bwawa la kuogelea,mahandaki kwa ajili ya ulinzi,kiti cha kukaa cha kale,matanki ya maji pamoja na majengo vyote vikiwa vilitengenezwa mnamo mwaka 1925.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Utalii ,ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Sisimba Mhe.Geofrey Kajigili amemuomba Mwalimu Michael kwa niaba ya Uongozi wa Shule hiyo kushirikiana na Kamati hiyo ili kupata Wazee wa zamani waiishio maeneo hayo ili waweze kupata historia nyingine nyingi kuhusu Utawala wa Kikoloni na taarifa zingine za kina.
Naye Afisa Utalii Bi.Levina amesema kuna kila sababu ya kuboresha mazingira ya Shule hiyo ili yawe ya Kitalii zaidi kwani yataisaidia Halmashauri kujitangaza na kujiingizia mapato huku Shule na wanajamii wa Sekondari ya Iyunga watanufaika pia kwa kuwa na Vivutio hivyo.
Mwishowe,Mwalimu Emmanuel Michael aliushukuru Uongozi wa Halmashauri ,Kamati ya Utalii kwa kuliona suala la Utalii kuwa ni jema na kuamua kulishupalia na kuiahidi Kamati hiyo kushirikiana nayo bega kwa bega katika kufanikisha suala hilo zuri huku akiiomba Kamati utekelezaji mwema wa majukumu yake.

Kiti
hiki cha kukalia ni moja ya kivutio shuleni hapo kilitengenezwa zaidi
ya miaka 90 iliyopita enzi za Utawala wa Kikoloni wa Kijerumani
Ukuta
huu ulijengwa na Wajerumani pembezoni mwa Mto Nzovwe kwa ajili ya
Ulinzi na Usalama kwani chini ya Ukuta huu kuna Handaki kubwa
linalounganisha maeneo ya ndani ya shule na nje ya eneo hilo
Hili
ni birika la kale lililokuwa likitumika na Utawala wa Kijerumani kwa
ajili ya kuhifadhia maji na vitu vingine vinavyofanana na hivyo ambalo
Uongozi wa Shule ya Sekondari Iyunga wamelitunza vizuri hadi hivi sasa
Hiki
ni kifaa kitumikacho Kuratibu masuala mbalimbali kuhusu Hali ya Hewa
(Stevenson Screen) kilichojengwa na kutumika tangu enzi za mkoloni
Mjerumani
Jengo
hili ni Ukumbi uliojengwa na Mkoloni ambao ndani yake kuna Handaki
linalotoka mpaka nje ya maeneo ya Shule hiyo, Juu kulia karibu na
dirisha ni Kengere ya Mkoloni inayotumia umeme iliyokuwa ikitumika kutoa
taarifa mbalimbali kama kuna hatari au kuita watu mkutanoni kwa ajili
ya kujuzwa yanayojiri
Kamati
ya Utalii ya Jiji, Waandishi wa Habari pamoja na Mwalimu mwenyeji Mwl
Emmanuel Michael wakiwa eneo lilipo Bwawa la Kuogelea lililojengwa na
Enzi za Mkoloni
Afisa
Habari wa Halmshauri ya Jiji la Mbeya Bi.Jacqueline Msuya akitoka ndani
ya Handaki pamoja na wajumbe wengine waliokuwa wakizungukia maeneo ya
utalii ndani ya Shule ya Sekondari ya Iyunga,Jijini Mbeya
Mwenyekiti
wa Kamati ya Utalii na Diwani wa Kata ya Sisimba Mhe.Geofrey Kajigili
(wa kwanza kushoto) akiwa na Afisa Utalii wa Jiji Bi.Levina Modest
wakisikiliza kwa makini maelekezo kutoka kwa mwenyeji wao Mwalimu
Emmanuel Michael wa Sekondari ya Iyunga
Mwalimu
Emmanuel Michael ,Mwalimu mwandamizi wa Michezo,Habari na Utamaduni
akielekeza jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Utalii ndani ya Handaki
lililopo shuleni hapo
PICHA YA PAMOJA: Wajumbe wa Kamati, Waandishi wa Habari na Mwalimu mwenyeji kwenye viunga vya Shule ya Sekondari Iyunga |
Wajumbe
wa Kamati ya Utalii wakifurahia mara baada ya Kuelezwa mambo mbalimbali
na kuyatembelea, hapa wakiwa kwenye pozi la kuruka juu ndani ya Bwawa
la Kuogelea lillilojengwa tangu Enzi za Mkoloni miaka 90 iliyopita
Kamati
ya Utalii ya Jiji la Mbeya iliyopo chini ya Halmashauri ya Jiji kupitia
kwa Afisa Utalii Bi.Levina Modest jana ilifanya ziara ya kitalii
kuitembelea Shule ya Sekondari Iyunga iliyopo Mkoani hapo kwa
kushirikiana na wadau wakubwa wa masuala ya Utalii Jijini Mbeya, Uyole
Cultural Tourism Enterprises chini ya Mratibu wake Amos Mwamugobole na
Asasi nyingine isiyo ya kiserikali iitwayo ELIMISHA chini ya Mkurugenzi
wake Bw.Festo Sikagonamo.
Katika Ziara hiyo wajumbe wa Kamati walionyeshwa Vitu mbalimbali vilivyotengenezwa toka enzi za Mkoloni Mjerumani. Akiongea kwa bashasha kuu Mwalimu mwandamizi wa Michezo,Habari na Utamaduni Sekondari ya Iyunga, Mwalimu Emmanuel Michael ameelezea kwa marefu kuhusu kumbukumbu za kale zilizopo shuleni hapo ikiwemo kengere ya kale,birika,bwawa la kuogelea,mahandaki kwa ajili ya ulinzi,kiti cha kukaa cha kale,matanki ya maji pamoja na majengo vyote vikiwa vilitengenezwa mnamo mwaka 1925.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Utalii ,ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Sisimba Mhe.Geofrey Kajigili amemuomba Mwalimu Michael kwa niaba ya Uongozi wa Shule hiyo kushirikiana na Kamati hiyo ili kupata Wazee wa zamani waiishio maeneo hayo ili waweze kupata historia nyingine nyingi kuhusu Utawala wa Kikoloni na taarifa zingine za kina.
Naye Afisa Utalii Bi.Levina amesema kuna kila sababu ya kuboresha mazingira ya Shule hiyo ili yawe ya Kitalii zaidi kwani yataisaidia Halmashauri kujitangaza na kujiingizia mapato huku Shule na wanajamii wa Sekondari ya Iyunga watanufaika pia kwa kuwa na Vivutio hivyo.
Mwishowe,Mwalimu Emmanuel Michael aliushukuru Uongozi wa Halmashauri ,Kamati ya Utalii kwa kuliona suala la Utalii kuwa ni jema na kuamua kulishupalia na kuiahidi Kamati hiyo kushirikiana nayo bega kwa bega katika kufanikisha suala hilo zuri huku akiiomba Kamati utekelezaji mwema wa majukumu yake.
Katika Ziara hiyo wajumbe wa Kamati walionyeshwa Vitu mbalimbali vilivyotengenezwa toka enzi za Mkoloni Mjerumani. Akiongea kwa bashasha kuu Mwalimu mwandamizi wa Michezo,Habari na Utamaduni Sekondari ya Iyunga, Mwalimu Emmanuel Michael ameelezea kwa marefu kuhusu kumbukumbu za kale zilizopo shuleni hapo ikiwemo kengere ya kale,birika,bwawa la kuogelea,mahandaki kwa ajili ya ulinzi,kiti cha kukaa cha kale,matanki ya maji pamoja na majengo vyote vikiwa vilitengenezwa mnamo mwaka 1925.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Utalii ,ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Sisimba Mhe.Geofrey Kajigili amemuomba Mwalimu Michael kwa niaba ya Uongozi wa Shule hiyo kushirikiana na Kamati hiyo ili kupata Wazee wa zamani waiishio maeneo hayo ili waweze kupata historia nyingine nyingi kuhusu Utawala wa Kikoloni na taarifa zingine za kina.
Naye Afisa Utalii Bi.Levina amesema kuna kila sababu ya kuboresha mazingira ya Shule hiyo ili yawe ya Kitalii zaidi kwani yataisaidia Halmashauri kujitangaza na kujiingizia mapato huku Shule na wanajamii wa Sekondari ya Iyunga watanufaika pia kwa kuwa na Vivutio hivyo.
Mwishowe,Mwalimu Emmanuel Michael aliushukuru Uongozi wa Halmashauri ,Kamati ya Utalii kwa kuliona suala la Utalii kuwa ni jema na kuamua kulishupalia na kuiahidi Kamati hiyo kushirikiana nayo bega kwa bega katika kufanikisha suala hilo zuri huku akiiomba Kamati utekelezaji mwema wa majukumu yake.
Kiti
hiki cha kukalia ni moja ya kivutio shuleni hapo kilitengenezwa zaidi
ya miaka 90 iliyopita enzi za Utawala wa Kikoloni wa Kijerumani
Ukuta
huu ulijengwa na Wajerumani pembezoni mwa Mto Nzovwe kwa ajili ya
Ulinzi na Usalama kwani chini ya Ukuta huu kuna Handaki kubwa
linalounganisha maeneo ya ndani ya shule na nje ya eneo hilo
Hili
ni birika la kale lililokuwa likitumika na Utawala wa Kijerumani kwa
ajili ya kuhifadhia maji na vitu vingine vinavyofanana na hivyo ambalo
Uongozi wa Shule ya Sekondari Iyunga wamelitunza vizuri hadi hivi sasa
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia