MOUNTI MERU RICKENEST BANDI YAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA ,USIULIZE WAPI PA KWENDA UKIWA JIJINI ARUSHA NI KATIKA UKUMBI WA TRIPLE A SPORT BAR KWA BURUDANI WA BENDI SAFI
rais wa bendi ya Mounti Meru Rickenest Bandi wa pili kutoka kushoto akiwa anasakata rumba na waimbaji wenzake
picha ya juu na chini waimbaji wa bendi ya Mounti Meru Rickenest bandi wakiwa wanafanya mambo katika onyesho lao
Hii ndio staili mpya ya bendi ya Mounti Meru Rickinest Bandi ,bendi hii inapiga kila ijumaa jumamosi na jumapili katika ukumbi wa Triple A spot bar uliopo jijini hapa
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia